✨ Huduma Bora 24/7 ✨

Huduma za Kitaaluma
na Teknolojia

Kituo chako cha kuaminika kwa huduma za HESLB, RITA, NIDA, Vyuo, Computer Maintenance na zaidi. Urahisi, Haraka na Uaminifu wa kiwango cha juu.

500+ Wateja Wameridhika
24/7 Huduma Muda Wote
100% Uaminifu
IT Support
HESLB
NIDA
RITA

Kwa Nini Wateja Wetu Wanatuamini

Chagua huduma unayohitaji, tutakusaidia kwa weledi na uaminifu wa hali ya juu

HESLB

  • Maombi ya Mkopo
  • Marekebisho ya taarifa
  • Uhakiki wa nyaraka
  • Mwongozo hatua kwa hatua
Omba Sasa

RITA

  • Cheti cha Kuzaliwa
  • Cheti cha Kifo
  • Marekebisho ya taarifa
  • Ufuatiliaji wa vyeti
Omba Sasa

NIDA

  • Usajili wa NIDA
  • Marekebisho ya taarifa
  • Kupata Namba ya NIDA
  • Mwongozo kamili
Omba Sasa

Maombi ya Vyuo

  • Maombi ya udahili
  • Uchaguzi wa kozi
  • Mwongozo wa vyuo
  • Usajili mitandaoni
Omba Sasa

Huduma za Kitaaluma

  • Field Report
  • Assignments
  • Research
  • Presentations
Omba Sasa

Computer Maintenance

  • Kupiga Windows / Format
  • Kuweka Antivirus
  • Kurepair files
  • Backup na restore
Omba Sasa

Omba Huduma

Jaza fomu hii, tutakujibu ndani ya dakika chache

24/7 Huduma

Tupo kila wakati kukuhudumia

Usiri Kamili

Taarifa zako ziko salama

Majibu ya Haraka

Ndani ya dakika 30

Wanachosema Wateja Wetu

"Nilipata msaada wa haraka kwenye maombi ya mkopo HESLB. Mwongozo ulikuwa wazi. Asante MR. HAULE!"

Sarah M.

★★★★★

"Computer yangu ilikuwa imeharibika kabisa, walinirepair na sasa inaendesha vizuri. Wataalamu kweli!"

Juma K.

★★★★★

"Niliomba cheti cha kuzaliwa RITA, walinisaidia kufuatilia na nikakipata haraka. Uaminifu 100%."

Aisha R.

★★★★★